Meya Arusha Aachiwa, Amkomalia RC Gambo
ARUSHA: Meya wa Jiji la Arusha, Calist Lazaro amesema kuwa ataelekeza fedha zote za rambirambi kwa wafiwa badala ya kuzipeleka kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo.
Aidha amehoji ni kwanini fedha za rambirambi zilizochangwa…
