Magufuli Apiga Marufuku Chakula cha Msaada Misenyi, Asema Serikali Haitawajengea Waathirika wa…
KAGERA: Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli amezuia serikali kupeleka chakula cha msaada wilayani Misenyi mkoani Kagera kwa madai kuwa wilaya hiyo haina sababu ya kukumbwa na tatizo la njaa.
Rais Magufuli amekataa serikali kupeleka…
