Magari Yagongana Uso kwa Uso, Watu 2 Wafariki Dunia
WATU wawili wamefariki Dunia katika ajali iliyohusisha Malori mawili iliyotokea eneo la Mkambarani barabara ya Morogoro - Dar es alam nje kidogo ya Manispaa ya Morogoro.
Katika Malori hayo, moja lilibeba shehena ya Saruji likiwa…
