×

Tag: Mobeto

Mama Diamond: Nilimdunda Mobeto, Kila Akikanyaga Kwangu Kipigo

BAADA ya kuvuma kwa taarifa mitandaoni kuwa mama wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim ‘Sandra’...

READ MORE

Kauli ya Mobeto Kuhusu Ndoa Yake na Diamond Hivi Karibuni- VIDEO

MSANII  wa filamu nchini na ambaye pia ni model, Hamisa Mobeto amefunguka baada ya kuhojiwa kuhusu tetesi za mipango ya...

READ MORE

DIAMOND: Mobeto Siyo Mama Yangu – Video

NADHANI unafahamu kwamba Mei 13 ya kila mwaka, Dunia nzima huadhimisha siku ya wakinamama duniani. Staa wa Filamu Bongo, Mwanamama,...

READ MORE

WEMA: Mobeto ni Mdogo Wangu, Lakini Mazoea Yamezidi – Video

BAADHI ya wasanii wa Bongo Muvi walimuandalia hafla fupi msanii mwenzao, Wema Sepetu, wakimpongeza baada ya kushinda Tuzo za Sinema...

READ MORE

Wa Kuolewa na Diamond ni Huyu!

DAR ES SALAAM: Mara baada ya kumwagana na mama watoto wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kisha kumuahidi mama...

READ MORE

ZARI ALIVYOMNYAMAZISHA TUNDA

MUUZA nyago machachari kwenye video za wasanii Bongo, Tunda Sebastian amefunguka kuwa ameufyata mdomo wake kuzungumzia chochote kuhusu aliyekuwa mpenzi...

READ MORE

KWA NINI ZARI KAUMIZWA NA WEMA NA SI MOBETO?

  SIKU chache baada ya Zarinah Hassan ‘Zari Boss Lady’ kuweka wazi kuwa ameachana na baba watoto wake, Nasibu Abdul...

READ MORE

Mama Diamond Ajitoa Kwa Zari, Mobeto

DAR ES SALAAM: Mama mzazi wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim (pichani) amejitoa kwenye gogoro...

READ MORE

MOBETO: NIMEFURAHIA MAAMUZI YA MAHAKAMA – VIDEO

  MWANAMITINDO Hamisa Mobeto, amesema anaishukuru Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Kitengo cha Watoto kufuatia maamuzi yake ya kuifuta kesi...

READ MORE

KAULI YA DIAMOND BAADA YA UAMUZI WA MAHAKAMA – VIDEO

  KUFUATIA Mahakama ya watoto iliyo ndani ya Hakimu Mkazi Kisutu kuifuta kesi ya madai ya matunzo ya mtoto iliyofunguliwa...

READ MORE

Kisutu: Diamond, Mobeto Wamalizana Mahakamani

MSANII wa Bongo Fleva, Nasbu Abdul ‘Diamond Platinumz’ na mzazi mwenzake Hamisa Mobeto, leo Feb. 13, 2018 wamefika tena katika...

READ MORE

Diamond Kortini Sakata la Kumtunza Mtoto wa Mobeto – Pichaz

MSANII wa Bongo Fleva, Nasbu Abdul ‘Diamond Platinumz’ leo amefika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam...

READ MORE

 Mama Mobeto Amtapika Diamond

  KUFUATIA skendo nzito inayofukuta ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kudaiwa kutoka kimapenzi na warembo, Wema...

READ MORE

Wema, Tunda, Mobeto Wanavyozungukana!

  DAR ES SALAAM: Mambo ni moto! Habari ya mjini inayotrendi ni kitendo cha staa wa sinema za Kibongo, Wema...

READ MORE

Mobeto, Tunda Vita Mpyaaa!

Ubuyu wa mjini kwa sasa ni vita mpya kati ya mwanamitindo, Hamisa Mobeto na mwanadada anayeuza nyago kwenye video mbalimbali...

READ MORE

Mama Mobeto Afunguka Kuporwa Bwana na Bi Sandra

KWA siku kadhaa kumekuwa na ubuyu mzito kuwa, mwanaume anayedaiwa kumuona mama wa msanii wa Bongo Fleva, Sanura Kassim almaarufu...

READ MORE

Uchangudoa wa Zari Waibua Kimbembe!

MAMBO ni moto! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mfanyabiashara maarufu Afrika Mashariki, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kukiri kuwa...

READ MORE

Zari: Bora Mimi Changudoa Mzee Mwenye Mafanikio

Baada ya mwanamitindo Hamisa Mobetto kumtibua upya Zari The Boss Lady ikiwemo kumuita mcheza picha chafu, Zari ajibu mapigo tena....

READ MORE

Hamisa Mobeto Alivyotinga nyumbani Kwao Zari

Mwanamitindo maarufu nchini Tanzania, Hamisa Mobeto ametinga nchini Uganda kwa mbwembwe za aina yake huku akipokelewa kwa shangwe na ndugu...

READ MORE

Hatimaye Mobeto Ambwaga Zari!

NOVEMBA 10, mwaka huu, ilikuwa kicheko kwa upande wa mwanamama mjasiriamali wa Afrika Mashariki, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’...

READ MORE

Kisa Mwanaye, Hamisa Mobeto Amlilia Lulu!

Mwanamitindo anayebamba vilivyo na kuipeperusha vyema Bendera ya Tanzania katika nchi mbalimbali, Hamisa Mobeto, kwa mara ya kwanza ameongea kuhusu...

READ MORE

Familia Yawakalisha Zari na Mobeto

DAR ES SALAAM: Warembo waliokuwa kwenye vita ya maneno, Hamisa Mobeto na Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ wamedaiwa kuwekwa...

READ MORE

Uchawi Watikisa Nyumbani kwa Mobeto

WAKATI sakata lake la kuzaa na mtoto wa pili na mwanaume mwingine likiwa bado linarindima, umati wa watu ulikusanyika nyumbani...

READ MORE

Mobeto: Sitaki Kufuata Maneno Ya Mtandaoni

MWANAMITINDO, Hamisa Mobeto ameibuka na kusema kuwa hataki kuyafuata maneno ya mtandaoni kwani yanaweza kumkondesha hivyo ameamua kuyatupilia mbali. Akiongea...

READ MORE

ZARI, BWANA’AKE WAWAFUNGA MIDOMO VIZABIZABINA!

  Mfanyabiashara maarufu nchini Uganda, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, ambaye pia ni mzazi mwenza wa Mbongo Fleva, ambao...

READ MORE

KISA MTOTO… MOBETO KUMBURUZA MZAZI MWENZIYE MAHAKAMANI!

Mwanamitindo maarufu Bongo, Hamisa Mobeto, amemshitaki mzazi mwenziye ambaye ni Mbongo Fleva katika Mahakama ya Watoto, Kisutu jijini Dar, akidai...

READ MORE

PETIT MAN ALIA NA WALIOVUJISHA PICHA ZAKE ZA MAHABA NA MOBETO!

SIKU chache baada ya baba mzazi wa mtoto wa mwanamitindo, Hamisa Mobeto, kujitokeza hadharani na kukiri mtoto ni wake, ghafla,...

READ MORE

BAADA YA PRINCE DYLAN, MOBETO SASA KUZAA MAPACHA!

Ukisikia mfanyabiashara Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ anakosa usingizi, basi ujue ni kwa sababu ya mwanamitindo Hamisa Mobeto, ambaye...

READ MORE

ZARI: MTOTO WA MOBETO ASIWASHOBOKEE WATOTO WANGU!

  Siku zote Tembo wakipigana zinazoumia ni nyasi! Hiyo imejidhihirisha kufuatia ‘vita ya penzi’ inayoendelea kuunguruma mitandaoni kati ya mwanamitindo...

READ MORE

Kisa Mtoto wa Mobeto, Zari Atoa Mapovu Balaa

LILE sakata la mtoto wa mwanamitindo Hamisa Mobeto, Abdulatif Nasibu kuzua utata, kila mmoja akiwa na shauku ya kumjua baba...

READ MORE

Hili la Zari na Mobeto Lamuibua RC Makonda

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameshindwa kujizuia kufuatia kinachoendelea mitandaoni kuhusu warembo wawili, Zarinah Hassan maarufu...

READ MORE

Mobeto Ampukutisha Zari

DAR ES SALAAM: Mwanamitindo Hamisa Mobeto amedaiwa kuwa sehemu ya kupungua mwili kwa mwanadada mjasiriamali maarufu, Zarina Hassan ‘Zari The...

READ MORE

Mimba ya Hamisa Mobeto Jipu Pwaaa

WAKATI yakisemwa mengi juu ya ujauzito alionao ambao kwa sasa hauhitaji miwani ili kuuona, mwanamitindo matata Bongo, Hamisa Mobeto amepasua...

READ MORE

Video: Hamisa Mobetto Afunguka Kutoka Diamond, Bifu lake na Zari, Kiba Wema na Lulu

HAMISA MOBETTO ameanika ukweli wote kuhusu kutoka kimapenzi na Diamond, ugomvi wake na Zari, Beef na Lulu, Wema, Ali Kiba...

READ MORE

Mobeto: Lulu kanipora bwana!

Mwanamitindo maarufu Bongo, Hamisa Hassan Mobeto. MAPENZI ya mjini utata mtupu! Ni kauli inayostahili kutumika baada ya mwanamitindo maarufu Bongo,...

READ MORE