Gbadolite: Paradiso ya Mobutu Kijijini Kwao Iliyobaki
Mwandishi: Walusanga Ndaki | RISASI JUMAMOSI| NAKUJUZA ZAIDI
ALIKUWA ni mmoja wa viongozi wa Afrika waliodaiwa kuwa wanapenda kuishi maisha ya anasa na kutumia vibaya fedha za nchi zao kwa kujinufaisha na mambo ambayo hayakuwa…
