Majaliwa Amjulia Hali Kijana Deogratius Mianga MOI
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa jana (Ijumaa Julai 24, 2020) alimjulia hali kijana Deogratias Mianga mkazi wa Singida ambaye amelazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) jijini Dar es Salaam kwa ajili ya matibabu.
…
