Moses Phiri Aamua Kuvunja Ukimya Simba Kurejea Kikosi cha Kwanza
MSHAMBULIAJI wa Simba, Moses Phiri amesema kuwa licha ya changamoto ya nafasi ya kucheza anayoipata katika timu hiyo lakini bado anaamini atazidi kupambana na kurejea kikosi cha kwanza cha Simba.
Phiri amekuwa akikosa nafasi ya…
