Tanzia: Pigo Tena Bongo Movie, Muigizaji Haji Jumbe Afariki Dunia
Muigizaji wa tamsthilia hapa Bongo, Haji Jumbe, ambaye amekuwa akiigiza kama Mr. Benson katika tamthilia ya Siri za Familia inayorushwa na EATV amefariki dunia jana Jumatatu jioni, Oktoba 24, katika Hospitali ya Kinondoni kwa Dr. Mvungi. …
