MZEE mmoja huko Maragua, kaunti ya Murang’a, alinusurika jaribio la utekaji nyara baada ya gari alilokuwa akisafirishiwa nalo kupata ajali...