Imeisha Hiyo, Mwamnyeto Anaendelea Kubakia Yanga
NAHODHA na beki wa kati wa Yanga, Bakari Mwamnyeto ameongeza mkataba mwengine wa miaka miwili wa kuendelea kubakia hapo.
Mwamnyeto ameongeza mkataba huo, baada ya kufikia muafaka mzuri na Uongozi wa timu hiyo, katika dau la usajili na…
