Waziri Nape alivyohitimisha ziara Kanda ya Ziwa
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amehitimisha ziara ya kukaguwa ujenzi wa minara ya mawasiliano kwa mikoa mitano ya Kanda ya Ziwa.
Ziara ya Nape ilianza Julai 15 mkoani Kigoma na akaelekea Mikoa ya…
