Mfanyabiashara Ndama Ahukumiwa
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu mfanyabiashara maarufu nchini, Ndama Shabani ‘Ndama mtoto wa Ng'ombe’ na mwenzake Yusuph Yusuph kulipa fidia ya dola za kimarekani 75,000 (sawa na Tsh Milioni 173.925) kwa mlalamikaji Emanuel…
