Championi, Spoti Xtra Watoa Ndoo, Sabuni kwa Askari Dar
MAGAZETI ya michezo na burudani ya Championi na Spoti Xtra, yametoa ndoo za kunawia pamoja na sabuni kwa askari wa Kituo cha Polisi cha Mabatini, Kijitonyama jijini Dar es Salaam.
Mhariri Mtendaji wa Global Publishers,…
