Ni Ajabu! Miaka 20 Bado Bongo Muvi Inatambaa
DUNIANI kuna maajabu mengi, kuna vitu vinavyofanywa au vilifanywa ambavyo vinashangaza mno. Mfalme Nebukadneza wa Babylon (Iraq) alimjengea bustani malkia wa Sheba bustani inayoelea angani. Ukiachana na hayo, Wamisri walijenga…
