The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

Niyonzima

Haruna Niyonzima Apata Ajali

NYOTA wa kikosi cha Yanga, Haruna Niyonzima taarifa zinaeleza kuwa amepata ajali akiwa na mke wake nchini Rwanda wakati gari alilokuwa akiendesha kupata ajali wakati akimkwepa mwendesha baiskel katika eneo la Nyamata, wilaya ya…

Simba Vs Yanga… Mtu na Mtu

MAJIGAMBO, mikwara na kejeli za watani wa jadi Simba na Yanga zinamalizika leo wakati timu hizo kongwe zitakapokuwa uwanjani zikipambana katika mchezo wa Ligi Kuu Bara. Mchezo huo unatarajiwa kupigwa kwenye Uwanja…

Niyonzima: Yanga Njoeni Tumalizane

MARA baada ya kiungo mchezeshaji Mnyarwanda Haruna Niyonzima, kukutana na Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano wa Yanga, Abdallah Bin Kleb ambaye ndiye aliyehusika katika usajili wake akitoka APR ya kwao, kiungo huyo amefunguka kuwa anataka…

Niyonzima Aaga Rasmi Simba Sc

Kiungo Mnyarwanda, Haruna Niyonzima amewaaga mashabiki wa klabu ya Simba kwa muda wote waliokuwa nae akiwa na timu hiyo na sasa anaelekea klabu nyingine. Taarifa zinadai uongozi wa Simba umegoma kumuongezea mktaba mchezaji…

Niyonzima, Mkude Out

SIMBA imepanga kuwapumzisha wachezaji wake mastaa wa kikosi cha kwanza katika michuano ya Kombe la Kagame iliyopangwa kufanyika jijini Dar es Salaam. Miongoni mwa mastaa ambao watakuwa ‘out’ kwenye michuano hiyo, ambao watakuwa kitaa…

NIYONZIMA AJIENGUA KIKOSINI SIMBA

LICHA ya kuanza mazoezi, kiungo mnyumbulifu wa Simba, Haruna Niyonzima, raia wa Rwanda, ameibuka na kuweka bayana kwamba mashabiki wa timu hiyo wasimhesabie kuanza kucheza katika kikosi cha kwanza kwa sababu bado hajapona vizuri majeraha…

Niyonzima ahofia kupoteza kiwango

KIUNGO wa Simba, Mnya­ruanda, Haruna Niyonzima, amefunguka kuwa anahofia kupoteza kiwango chake kuto­kana na kukaa nje ya uwanja kwa muda mrefu. Niyonzima alipatwa na mata­tizo ya enka na hajacheza mechi yoyote tangu Novemba, mwaka jana,…

Zanzibar Yamuadhibu Niyonzima

TIMU ya taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Rwanda kwenye mchezo wake wa kwanza Kundi A michuano ya CECAFA Challenge inayoendelea nchini Kenya. Zanzibar ambayo imecheza…

Niyonzima: Mavugo Hakosi Timu

WAKATI tetesi za kutemwa kwa mshambuliaji Mrundi, Laudit Mavugo, kiungo mchezeshaji wa Simba, Mnyarwanda, Haruna Niyonzima, amesema kuwa mchezaji huyo hawezi kukosa timu kama akiachwa. Mavugo ni kati ya wachezaji wali­opo kwenye…