BABU WA MIAKA 79 ALIYEKUWA DARASA LA KWANZA AKACHA SHULE
NDOTO ya elimu ya Mzee Nyamohanga Suguta mwenye umri wa Miaka 79 ambaye mwaka jana alianza masomo ya darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Makerero wilayani Tarime Mkoani Mara imeshindwa kufanikiwa baada ya Mzee huyo kuacha…
