Ang’atwa na Nyoka Sehemu za Siri Akijisaidia
SIRAPHOP MASUKARAT (18), raia wa Thailand, majuzi aling'atwa na nyoka sehemu za siri wakati akijisaidia chooni. Amesema nyoka huyo alitokea kwenye tundu la choo.
“Nilikuwa natumia choo nikaanza kuhisi maumivu sehemu zangu za siri,…
