Baada ya Shilole, Linah Naye Afungukia Kuhusu Ndoa Yake
Kwetu uchapa kazi na umahiri...
Tunatupilia mbali hofu, haikwamishi...
Twaendelea na kazi kwa ujasiri...
Na inatupa thamani, inayostaili...
Malkia wangu wa nguvu, Jasiri...
Mchapa kazi, mbunifu, Jasiri...…
