Yanga: Tshishimbi Chukua 60m au Sepa tu
WADHAMINI wa Klabu ya Yanga, Kampuni ya GSM imemuwekea kitita cha Sh milioni 60 kiungo wake mkabaji Mkongomani, Papy Tshishimbi ili aongeze mkataba wa miaka mingine miwili pekee ambazo kama akizikataa, basi rasmi wataachana naye mara…
