Pedeshee aapa kuvunja uchumba wa dida
Khadija Shaibu ‘Dida’.
Imelda Mtema
Pedeshee maarufu jijini Dar anadaiwa kuapa kuvunja uchumba wa Mtangazaji wa Radio Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’ mara tu baada ya kutangaza kuvalishwa pete ya uchumba hivi karibuni na mwanaume ambaye…
