Wakongwe 15 Bongo Fleva Wapigiwa ‘Mizinga Ya Heshima’ Dar Live
Usiku wa kuamkia leo Jumapili ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem jijini Dar kulikuwa na shoo ya heshima kwa Bongo Flava waanzilishi wa muziki huo waliowahi kutamba enzi hizo walipigiwa mizinga mitano…
