Hatimaye Kocha Mkuu wa Yanga Awaaga Wachezaji na Benchi la Ufundi
HATIMAYE ikiwa ni siku moja baada ya aliyekuwa Kocha Mkuu wa klabu ya Dar es Salaam Young Africans, Hans van Pluijm aandike barua ya kujiuzulu nafasi yake hiyo, baada ya kusikia kuwa kuna kocha kutoka Zesco United ya Zambia, George…
