Polisi Yatahadharisha Wananchi Kuhusu Mkesha wa Mwaka Mpya
TAARIFA YA JESHI LA POLISI KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU TAHADHARI KATIKA MKESHA WA MWAKA MPYA
Tunapoelekea kumaliza mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2016, wananchi hutumia muda huo kwenda katika nyumba za ibada ama kusherekea…
