Kocha wa Tottenham Mauricio Ponchettino Atimuliwa
UONGOZI wa Tottenham umempiga chini mazima aliyekuwa kocha wao kwa muda wa miaka mitano ndani ya klabu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu England Mauricio Ponchettino.
Pochettino ameiongoza timu yake hiyo ikiwa nafasi ya 14 kwenye…
