TANZIA: MTANGAZAJI SAMADU HASSAN WA STAR TV AFARIKI DUNIA
MTANGAZAJI maarufu wa Habari wa Kituo cha Runinga cha Star Tv na Radio Free Africa, (Sahara Media Group) ambaye pia alikuwa mkongwe kwenye tasnia hiyo, Samadu Hassan amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, nyumbani kwake eneo la Miembe…
