Global TV Online Kanisani: Wolper na Rich Mitindo Wafunga Ndoa, Wavalishana Pete Kimahaba-Video Global Publishers Nov 19, 2022 STAA wa Bongo Movies JacquelineWolper amefunga pingu za maisha na Mume wake Rich Mitindo kanisani huku wakivalishana pete kimahaba.
Celebrities Wolper Aanika Ujauzito Wake na Rich Mitindo Global Publishers May 7, 2021 Hatimaye Staa wa filamu za Bongo, Jackline Wolpe na mpenzi wake Rich Mitindo wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza. Hii inafuata baada ya kusambaa kwa picha iliyowekwa mtandaoni, na mwandani wake huyo (@richmitindo)kwenye…