MWIGIZAJI maarufu wa Marekani, Sylvester Stallone, hatafunguliwa mashitaka ya kubaka miaka karibu 30 iliyopita. Habari hiyo imejitokeza baada ya mwanamke mmoja...