Mtoto wa Tanasha ampa wazimu Esma
MTOTO wa mpenzi wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Natasha Donna Oketch amemtia wazimu dada wa mwanamuziki huyo, Esma Khan kutokana na kumsubiri kwa hamu. Akizungumza na Gazeti la Ijumaa, Esma alisema, siku zote…
