
Browsing Tag
TBC 1
KWESE SPORTS WAUNGANA NA TBC KUONYESHA KOMBE LA DUNIA
KAMPUNI ya Kwese Free Sport (KFS) imeingia mkataba na Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) kwa ajili ya kurusha matangazo ya Kombe la Dunia bure linalotarajiwa kuanza Juni, mwaka huu nchini Urusi.
Michuano hiyo…
LIVE TBC 1: Matukio Yote ya Leo Jumanne, Septemba 12
Chadema: Lissu Amevunjwa Mguu na Nyonga Lakini Jasiri, Tumuombee!
Matukio Yote ya Kutwa Nzima, Agosti 26, 2017 (Video)
Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lucas Mkondya amethibitisha kushambuliwa ofisi za wanasheria za IMMMA saa 8 usiku wa kuamkia leo Jumamosi, Agosti 26.
Mkondya amesema polisi wanafanya uchunguzi kujua ni nini…
Chadema Yasema Haikutuma Mtu Kuzuia Mwandishi wa TBC
Kuhusu Mwandishi wa TBC kuzongwa /kuzuiliwa kutimiza wajibu wake.
Tumepokea kupitia vyombo vya Habari taarifa za tukio la Mwandishi wa habari wa TBC kushindwa kutimiza wajibu wake Katika Makao Makuu ya CHADEMA.
…