The House of Favourite Newspapers

WEMA ‘AUMISS’ MWILI WAKE

Staa wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu amefunguka kuwa anaumiss mwili wake wa zamani alipokuwa mnene kwa sababu kila kukicha anazidi kupukutika tu.  Wema aliliambia Ijumaa kuwa, zamani alitamani sana kuwa mwembamba lakini anaona kadiri siku zinavyosonga anazidi kuisha mpaka nguo zake za zamani zote hazimtoshi.

“Kwa kweli ninaumiss sana ule mwili wangu wa zamani maana huku ninapoelekea siyo kabisa, kuna wakati natamani ule mwili wangu wa zamani urudi maana hata nguo zangu hazinitoshi tena,” alisema Wema.

Comments are closed.