The House of Favourite Newspapers

Wiz Khalifa Anunua Mjengo Mpya Wa Tsh Bilioni 6.9

 

RAPA Mmarekani Wiz Khalifa amenunua mjengo mpya uliopo pande za Los Angeles, Marekani,  kwa kudondosha kiasi cha Dola za Marekani milioni $3.2 (Tsh bilioni 6.9).

 

Nyumba hiyo ni ya kisasa, yenye vyumba vinne, mitambo ya kujulisha matukio ya hatari, na kamera nne kwa ajili ya ulinzi.

 

 

Wiz Khalifa hivi sasa anafanya vizuri na albam yake ya Rolling Papers 2 ambayo ilitoka mwaka jana 2018 na kufanikiwa kuingia katika nafasi ya pili kwenye Albam Bora 200 za Billboard.

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Comments are closed.