×


Facebook


Maya: Mume Wangu ni Sapraiz

MAYAMUIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amefunguka kuwa, watu wenye kiu ya kutaka kumjua mume wake mtarajiwa watulie watamuona tu na itakuwa sapraiz…

SOMA ZAIDIYanga Mapokezi Babkubwa Mwanza

YANGA inatua hapa Mwanza kesho Ijumaa na uongozi wa matawi yao jijini hapa umewaandalia mapokezi ya maana.   Katibu mkuu wa matawi hayo, Mhando Madega…

SOMA ZAIDI

Kocha Mbelgiji Ashusha Straika Simba

SPOTI Xtra limegundua kwamba Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Aussems tayari ana majina matatu mezani ya wachezaji atakaowasajili kwenye usajili wa dirisha dogo msimu huu….

SOMA ZAIDI

Mdogo wa Kanumba Hoi Kitandani

MDOGO wa marehemu Steven Kanumba, Seth Bosco yupo hoi kitandani katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili akisumbuliwa na tatizo la mwili kufa ganzi.   Seth…

SOMA ZAIDI

Kitenge: Nimetua Rasmi Wasafi FM

  MTANGAZAJI maarufu wa Habari za Michezo Tanzania, Maulid Kitenge ‘chumvi’ ameweka wazi kuwa ameachana na Kituo cha Redio cha EFM na kujiunga Wasafi  FM…

SOMA ZAIDI


Wauza Vyuma Chakavu Kufutiwa Leseni

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, George Simbachawene ameagiza kufutwa kwa vibali vya wafanyabiashara wote wanaosafirsha vyuma chakavu ambao hawakufuata…

SOMA ZAIDI


DNA kumaliza utata mtoto wa Diamond

Unakumbuka ule utata wa binti wa mwanamuziki mkubwa barani Afrika; Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Latifah Nasibu ‘Tiffah Dangote’, aliyemzaa mwaka 2015 na mwanamama Zarinah Hassan…

SOMA ZAIDI
Tangazo Muhimu Kutoka Sekretarieti Ya Ajira

ANGAZO MUHIMU TOKA SEKRETARIETI YA AJIRA ▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬ Katibu wa Sekretarieti ya ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwaatarifu waombaji kazi wa kada za “Geologist” II…

SOMA ZAIDI

Bata la Lyyn Dubai usipime!

WAKATI watu wakidai kuwa hali ni ngumu, kwa upande wa mwanamuziki anayeanza kufanya vizuri kwenye Bongo Fleva, Irene Loiuse ‘Lyyn’ anakula zake bata nchini Dubai. …

SOMA ZAIDI