The House of Social Media
gunners X

Jahazi Moden Taarab wafunika jijini Dar

0

1

Hadija Kopa akiwajibika.

2

Mashabiki wakinogeshana kwa raha zao.

3

Fatma Machuppa akiwajibika.

4

Fatma Kasim ambaye ni mdogo wa Jokha Kassim akikatika kwenye kiti baada ya uhondo kumuingia akilini.

5Reila Rashid ambaye ni mke wa Mzee wa Yusuph akipagawisha mashabiki.

6

Baadhi ya mashabiki waliendelea kujimwaya stejini licha ya mvua kunyesha.

7

Amigo wa Jahazi akirindimisha mambo

Usiku wa kuamkia leo Kundi la Jahazi Moden Taarab lilifanya onesho kwenye Hoteli ya Travertine, Magomeni Jijini Dar ambapo kamera yetu ilikuwa ikimulika matukio kwenye onesho hilo.

PICHA : RICHARD BUKOS / GPL

Leave A Reply