The House of Social Media
gunners X

Jacqueline Dustan naolewa nikiwa na Mimba!

0

IMG_0016 Jacqueline Dustan.

Imelda mtema
Msanii wa filamu aliyeibukia kwenye Shindano la Maisha Plus Season II, Jacqueline Dustan amesema licha ya watu kumuona hajatulia, mwanzoni mwa mwaka ujao anaolewa na atahakikisha anatinga shela akiwa na mimba.

Akizungumzia maisha yake ya sasa na mchumba wake aliyemtaja kwa jina la Hamis Ally, Jack alisema anainjoi penzi lao na jambo la kufurahisha zaidi ni kwamba wamekuwa siriasi zaidi kwani February mwaka ujao wanatarajia kuoana.

“Wapo waliokuwa wanasema oo sijatulia, siolewe sasa wakae mkao wa kuumbuka, mwanzoni mwa mwaka ujao nafunga ndoa na nitahakikisha wakati navaa shela niwe nina mimba,” alisema Jack.

Leave A Reply