×

Nelly Muosha Magari wa Posta-15

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale mhudumu alipofika katika meza waliyokaa Nelly na Atu kisha kutikisa chupa zilizokuwa na kilevi na kubaini kilibaki kidogo ndipo alimwuliza Nelly kama awaongeze, kijana huyo akamwambia alete mbili kwa kila mmoja na ziwe za moto kama za mwanzo.

Je, kilifuatia nini?  Songa mbele na utamu huu….

YULE mrembo aliposikia Nelly kaagiza aletewe bia zingine mbili na kwa vile alikaa muda mrefu bila kupata ‘gambe’ akafurahi na kujisemea moyoni akimaliza kinywaji alichoagiza asingeendelea.

Bia zilipoletwa wakaenda kula na kukata maji, kwa kuwa mlo walioagiza ulikuwa tofauti kila mmoja akawa anachanganya, Nelly akichukua kipande cha ulimi, yule mrembo ananyofoa mnofu wa kuku, ikawa burudani ya aina yake.

Walipomaliza kula, wakaendelea kukata maji ndipo bia za moto walizokuwa wanakunywa zikaanza kupanda kichwani, mrembo akaanza kuongeza spidi ya maongezi na kuchekacheka hata kama Nelly hakuongea ishu ya kuchekesha.

“Yap! Chezea bia wewe, tayari kashakolea, kwa mwendo huu lazima alipe fadhila za mfadhiliwa, mimi ndiyo Nelson a.k.a Nelly mzee wa kuwatungua!” Nelly alijisemea moyoni.

Hakutaka tena kumchelewesha, alizidi kumfanyia vimbwanga ili azidi kumuongezea mihemko, akamuomba msichana huyo asogeze kiti chake karibu akidai kuna jambo flani alitaka kumwambia.

“Wewe si niambie tu jamani kwani mpaka tusogeleane?” msichana huyo aliyeitwa Atuganile aliyependa kukatisha jina lake na kujiita Atu alimwambia Nelly kwa sauti iliyozidiwa kwa kilevi.

“Kwani Atu kuna tatizo gani ukisogea hebu sogea bwana,” Nelly alimwambia msichna huyo mwenye shepu f’lani hivi ‘amazing’. Atu alipoambiwa hivyo akasema isiwe tabu akasogeza kiti chake na kukigusanisha na cha Nelly ndipo Nelly akampiga kibao cha mahaba shavuni ambacho kilimfurahisha Atu.

“Ila wewe unajua ni mchokozi sana, sawa tu!” Atu alimwambia Nelly.

“Mimi wala siyo mchokozi ila ukitaka nikuchokoze nitakuchokoza, unaniruhusu?” Nelly alimwambia Atu.

“Hebu nichokoze niuone huo uchozi wako,” Atu alimwambia Nelly na kuanza kucheka. Nelly aliyekuwa amebanwa na haja ndogo aliinuka na kumwambia ngoja akajisaidie kwanza akitoka huko ndiyo atajua uchokozi wake, akaenda uani. “Hana ujanja, ngoja nifanye fasta asije akatokea mtu akaenda kunipindua maana wanaume wakaware wa hili jiji ni hatari,” Nelly aliwaza.

Baada ya kumaliza kupunguza maji alirejea walipokuwa wameketi na kusimama nyuma ya Atu aliyekuwa na kifua kilichobeba viembe bolibo vitamu sana, si akamwinamia mabegani na kuingiza mkono wake wa kulia ndani ya kitopu alichovaa Atu na kuishika embe bolibo ya kulia. Kutokana na embe hiyo kuwa ya moto, Atu alipata raha sana na kwa upande wa Nelly ilikuwa hivyo, kijana wa Kisukuma alilitumia vyema giza lililokuwepo kuichezea embe hiyo hasa ncha yake, Atu akaanza kutoa mhemko wa raha!

Nelly alipogundua mashetani ya Atu yalikuwa eneo hilo, kwa akaingiza mikono yake yote kifuani kwa mrembo huyo ambapo kila mmoja ulishika embe bolibo ya upande wake akawa anazipekecha, mara kuzifinya na sijui kuzifanyaje bwana, Atu akapiga yowe! Kufuatia uyowe alioupiga Atu, Nelly aligundua kwamba mashetani ya dada huyo yalikuwa jirani hivyo kama angeendelea kumpagawisha, angweza hata kuangua kilio na watu kupigwa butwaa!

Alichokifanya kijana huyo sharobaro, alichomoa mikono yake kifuani kwa Atu ambaye licha ya kuwepo kigiza Nelly aliweza kuyaona macho yake yalivyokuwa yamelegea na kwenda kukaa kwenye siti yake.

Baada ya kukaa aliupitisha mkono wa kushoto maungoni mwa Atu na kumpa pole kwa alichomfanyia ndipo msichana huyo akamwambia muda ule alikuwa yupo katika hali mbaya. “Hali mbaya kivipi?” Nelly alimwuliza swali la kizushi.

“Eti unaniuliza hali mbaya kivipi, kwani ulikuwa unafanyaje na kifua changu?” Atu alimwuliza. Kufuatia dada huyo kutoa kauli hiyo, Nelly naye alimwambia hata yeye alikuwa katika wakati mgumu ndipo aliuchukua mkono wa Atu na kuupeleka kwenye makazi ya ‘mkuu wa kaya’.

Mtoto wa kike alipomgusa mkuu huyo wa kaya, akapatwa na hali ambayo nashindwa kuielezea kwani alipitisha muda mrefu bila ya kukutana naye, akaishia kusema; “jamani wewe mbona mtundu namna hiyo.”

Nelly alipogundua kwamba hata kwa namna gani kwa atua aliyofikia Atu asingeweza kumchomolea kama

angehitaji mkomboti, alimuaga kwamba anakwenda msalani na kwenda moja kwa moja upande uliokuwa na vyumba a.k.a machinjio ambako alilipia rumu moja.

Baada ya kufanya hivyo alimfuata Atu na kumuomba msamaha kwamba wahamie eneo la ndani ambalo lilikuwa tulivu kwa wao kufanyiana chochote kuliko pale walipokuwa wamekaa.

Kutokana na pombe kumpanda kichwani, kujumlisha na jinsi mwili ulivyomchemka kihisia, dada wa watu hakubisha alinyanyuka na kumfuata nyuma Nelly kama mwanakondoo aliyekuwa akipelekwa malishoni.

Walipofika ndani ya rumu, Atu alijibwaga kitandani jambo lililompa raha Nelly aliyejisemea moyoni kwamba; “Umekwisha kiumbe wewe, kumbe wala siyo msumbufu!”

Je, kilifuatia nini? Usikose uhondo huu wa aina yake Jumatatu ijayo.

Leave a Comment