The House of Social Media
gunners X

Mike ampata mrithi wa Thea

IMG-20151201-WA0004Staa wa filamu za Kibongo Mike Sangu akiwa na mpenzi wake huyo mpya.

Hamida Hassan

Baada ya kimya cha muda mrefu tangu alipoachana na mkewe Salome Urassa ‘Thea’, staa wa filamu za Kibongo Mike Sangu amempata mrithi ambaye ataziba pengo.

IMG-20151201-WA0005Chanzo cha karibu na Mike kililitonya Ijumaa kuwa  Mike ameamua kuingia katika uhusiano mpya na mrembo aitwaye Lizzy G wa Mwanza baada ya Thea kudai amemsahau na wala akumbuki kama aliwahi kuolewa naye.

Mike alipoulizwa kuhusu mdada huyo alikiri kamuopoa na kwamba wana mpango wa kuoana siku si nyingi.

Comments are closed.