Watoto wakibembea
…wakiendesha baiskeli za watoto
…wakizidi kupata burudani.

…watoto ni full kujiahia.
…watoto wakijiachia kwenye ndege ya watoto.
…watoto wakijiachia kwenye bembea la kuseleleka
…bembea likinoga.

…wakishindana kuogelea.
PICHA NA DENIS MTIMA/GPL