×

Rigwaride Ra Afande – 9

ILIPOISHIA RISASI JUMATANO:

Wakati anasema hivyo alikuwa akitembea kuelekea ndani, nikamfuata kwa nyuma mpaka ndani kwake, yaani chumbani kwake. Nilichobaini ni kwamba ile nyumba kila mtu alikuwa ana chumba tu. Na chumba hicho ndiyo kilikuwa sebule na chumba cha kulala…

“Kaa hapo,” aliniambia akinionesha kochi kubwa. Nikakaa pwaa! Maana mimi naye, wowowo peke yake ni shughuli nzito…TAMBAA NAYO MWENYEWE…

ILIPOISHIA RISASI JUMATANO:

Nilipomtangazia kwamba nataka kutafuna korosho akaniachia, akapunguza mashambulizi akisema nisitafune korosho wala karanga mpaka tutafune wote.
Nilimkubalia, tukaendelea. Lakini akiwa anatangaza kutafuna korosho, na mimi nikatangaza kumuunga mkono, mlango si ukagongwa bwana!
“Ngo…ngo…ngo…we Rhoda…”

JIONGEZE MWENYEWE…

Sauti hiyo ilinishtua sana, kidogo nipoteze maisha. Sasa ufahamu ulinirudia kutoka kwenye kupotezea kwenye mapenzi mazito.
“Nani?” eti mwenyeji wangu aliniuliza mimi badala ya mimi nimuulize yeye…
“Atakuwa mama,” nilimjibu kwa sauti ya chini sana.
Ni kweli, sauti niliyoisikia ilikuwa ya mama yangu mzazi…
“Rhoda,” aliita tena.

Safari hii sauti yake ilikuwa dhahiri kabisa kwa sababu niliisikia kwa utulivu nikiwa nimeinua kichwa…
“Mwambie sipo,” nilimfundisha mwenyeji wangu.
Hapo tuliweka mpira kati, tukawa tunashughulikia la mama kwanza. Naamini hata mwenyeji wangu hakuwa ngangari tena. Ungangari anguepata wapi wakati kuna dalili za ndoa ya mkeka..?

“Hawezi kuingia kweli?” aliniuliza, nikabaini jamaa ni afande lakini muoga sana…
“Ungetoka haraka uongee naye,” nilimwelekeza. Akatoka uwanjani na kuniacha peke yangu, akasimama katikati ya chumba…

“We nani unayemuulizia Rhoda?”
“Mimi mama yake…”
“Kwanza unamuulizia Rhoda gani?”
“Si nilikuja na Rhoda hapa?”
“Rhoda gani?”

“Nilikuja na binti yangu muda si mrefu, kuna mwanaume tulikuja kumuulizia, kuna mtu akasema amekwenda kazini atarudi saa tisa usiku. Nikamwacha binti yangu huyo mpaka mwanaume aje…
“Sasa nimekwenda nyumbani nikagundua mjinga nitakuwa mimi. Kumsusia binti yako kwa mwanaume ni kama kumuongezea umalaya, kuna faida gani? Ndiyo nimemfuata sasa…”

“Oke, nakumbuka. Yule binti ulipoondoka tu wewe na yeye akaondoka, alisema atarudi hapa usiku.”
“Loo! Mtoto huyu, atakuwa amekwenda wapi sasa?”
“Huna namba zake za simu?”

“Ninazo, ila umeme nyumbani umekatika na simu yangu iliisha chaji tangu usiku.”
“Pole sana mama.”
“Haya baba, ngoja nirudi kama hatakuwa nyumbani nitarudi baadaye.”
“Sawa mama.”

Hayo mazungumzo kati ya mama na afande Mwita nilikuwa nikiyasikiliza kama yalikuwa yakitoka redioni.
Baada ya mama kuaga, nilimwona afande Mwita akinijia kitandani kama katoka gerezani…
“Teh! Teh! Teh!” alicheka akiwa anaingia uwanjani na kuanzisha mechi tena. Mechi ikaanza kusakatwa, safari hii tulikuwa na ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya.
Libeneke lilikuwa safi, afande Mwita alinitendea haki mpaka mwenyewe nikawa namuuliza maswali ya ajabu ajabu…

“Una mke?”
“Sina…”
“Mchumba…”
“Sina…”
“Lakini unategemea kuwa naye?”
“Sidhani…”

“Niwe mimi basi jamani…”
“Na afande Mwira je?” aliniuliza kwa kujitutumua kibabebabe.
Wakati nakaribia kupata ushindi, nilimbana vilivyo afande Mwita mpaka nilipotulia naye akatulia kumbe yeye pia alipata ushindi sema tu, mtangazaji wake hakutaka kuweka yale mashamsham ya mpira kukaribia wavuni.

“Da!” nilihamaki kwa sauti lakini moyoni nilisema…
“Mimi Rhoda nimeshaharibika tayari…kwa siku moja wanaume wanne? Mh! Hata dada Liz hakuwa hivi…huu uwezo au umalaya?”
Nilimgeukia afande Mwira nikamwona anasinzia kwa mbali, nikamgusa na mkono, akafumbua macho kuniangalia yakiwa yamelegea kama amelewa pombe za kienyeji…
“Unalala siyo mpenzi wangu?” nilimuuliza kwa sauti iliyotoka nje kwa kupitia tundu za pua…kimahabamahaba… si unajua tena…

“Usingizi bwana…tulale japo kidogo basi,” aliniambia kwa sauti yenye amri huku akigeukia ukutani.
Moyoni nilimsifu kwa msuli alionao kwani alisakata kabumbu bila kuhema sana kama wenzake akina afande Mwira, Chacha na yule mbaba.
Wote tulipitiwa na usingizi, tena ule wa fofofo. Mimi nililala kama nipo kitandani kwangu nyumbani maana nilijiachia. Mimi nikilala huwa sibakizi nguo yoyote zaidi ya kujitupia shuka tena nusu mwili, usiku sana kama kutakuwa na kijibaridi.

Wote tulishtuliwa na sauti ya ukali ya mama akiita kwenye mlango wa chumba cha afande Mwita…
“We Rhoda…” huku akigonga mlango kwa nguvu…

Je, nini kiliendelea hapo? Usikose kusoma kweli Risasi Jumatano ijayo.

Leave a Comment