Gwiji la timu hiyo, Zinedine Zidane amepewa jukumu la kukinoa kikosi cha Madrid na ndiyo anakuwa mocha mkuu.
Real Madrid imemtimua Benitez baada ya miezi sita tu na ikiwa ni siku moja tu baada ya sale ya mabao 2-2 dhidi ya Valencia inayonolewa na Kocha Gary Neville ambaye ni nyota wa zamani wa Man United.
