×

Ooh…madam martha!-5

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:
Ilipoishia wiki iliyopita: Kila upande ukawa unashambulia kwa zamu, lakini tahadhari ya kutoruhusu goli mapema. Kila John akikumbuka mpinzani anayesaka naye kabumbu uwanjani hapo ni mwalimu wake, mzuka wa kucheza kwa bidii ulimpanda mara mbili huku akisubiri maksi kutoka kwa mashabiki.

ASA SONGA MBELE…
Mtu na mwanafunzi wake hao wakiwa katika hali hiyo, ghafla walisikia mlango ukifunguliwa bila aliyeufungua kubisha hodi. Kufumba na kufumbua walipigwa butwaa kumuona mwalimu mwingine aitwaye Anna ambaye alikuwa rafiki wa karibu wa Madam Martha akiwa kasimama mlangoni.

“Eh! Martha!”
Mwalimu Anna alishindwa kuyaamini macho yake kufuatia kumfuma laivu rafiki yake kipenzi akiwa kama alivyokuja duniani amelala kitandani na mwanafunzi wake John.
Anna ambaye naye alikuwa akivutiwa sana na John aliumia kisha aliwaomba samahani akafunga mlango lakini kabla hajatoka nje Madam Martha alikurupuka pale kitandani na kumuwahi.

“Anna, kama ulivyotukuta yule dogo ni mtu wangu sasa yapata miezi miwili, si unajua alivyo mtanashati nimefanya kila mbinu nimemnasa hivyo naomba iwe siri yako shoga yangu,” Madam Martha alimwambia Anna.

“Yaani besti yangu sikutegemea kama ungeweza kutoka na John, lakini kwa kuwa kila mmoja ameridhia hakuna shida cha msingi ni kuwa makini maana wanafunzi au walimu wengine wakijua itakuwa balaa, unaweza kupoteza kazi na kumponza kijana wa watu afukuzwe shuleni,” Anna alimtahadharisha rafiki yake.

“Hilo nalijua sana, nakuahidi hakuna mtu atakayejua siri hiyo,” Madam Martha alimwambia rafiki yake.“Wewe unasema tu, hivi haujui kama mapenzi ni kikohozi kuyaficha haiwezekani?” Anna alimwambia Madam Martha.

“Naelewa lakini kwa mimi na J wangu, hakuna atakayejua,” Madam Martha alisisitiza.
Wakati walimu hao marafiki wakiendelea kuzungumza, kule ndani John alikuwa katika wakati mgumu sana kwani hakuelewa nini kingefuata baada ya kufumwa na mwalimu Anna ambaye naye alikuwa kajaliwa uzuri f’lani hivi.

“Ukisikia duniani kuna watu wana mikosi nami ni mmoja wao, yaani wala sijatoka na Madam Martha muda mrefu limetokea balaa kama hili, nikitoka hapa naachana kabisa na haya mambo!” John aliwaza.

Kule nje baada ya Anna na Madam Martha kuzungumza, Anna ambaye roho ilimuuma sana kuzidiwa kete na rafiki yake kwa John, aliondoka huku moyoni akiapa kula naye sahani moja.

“Tena hivi sasa itakuwa rahisi kumpata na siku atakayoingia kwenye kumi na nane zangu, hata huyo Madam Martha atamuacha,” mwalimu Anna alijisemea moyoni.
Mwalimu Anna akiwa anawaza hivyo, Madam Martha alirudi chumbani kwake na kumkuta John kavaa nguo zote akiwa mwenye wasiwasi mithili ya muuza bangi aliyemuona askari polisi.

“Mwalimu, mimi naondoka yaani hapa siyo mahali salama kwangu,” John alimwambia mwalimu wake.Madam Martha aliyekuwa kajifunga kanga alimsogelea John aliyekuwa amekaa kitandani akauzungusha mkono wake wa kushoto maungoni mwake na kumwambia aache uoga kwani alikuwa mtoto wa kiume na kwamba kila kitu alikiweka sawa.

“Pamoja na hivyo mwalimu, naomba uniruhusu niondoke, hapa nilipo sina amani kabisa!” John alimwambia Madam Martha.

Madam Martha ambaye bado alimhitaji kijana huyo kwa wakati ule, alimtoa wasiwasi na kuanza kumsifia jinsi alivyokuwa akiyajua mapenzi na jinsi alivyoumbika kiume, si John akawa mpole.

“Ila na wewe mwalimu upo vizuri sana tena sana, sema basi tu!” John alimwambia Madam Martha.“Sema basi tu nini?” Madam Martha aliyegundua mwanafunzi wake alikuwa amedata akamuuliza kwa kumtega.

“Si mwalimu wangu halafu umenipita umri, mimi ningekuoa kabisa uwe mke wa maisha yangu,” John akamwambia Madam Martha.
Kauli ya John ilimfurahisha sana Madam Martha aliyeishia kucheka na kumporomoshea mabusu kadhaa ya shavuni na mdomoni John damu ikaanza kumwenda mbio.

Madam Martha alipobaini mwanafunzi wake mambo yalianza kumzidia upya, akamvua fulana aliyovaa, suruali na kumalizia kufuli na kulitupa kule, kisha akamwambia vile alivyokuwa ndivyo alipenda kumuona kwa sababu hakuwa dada yake.

John alipoambiwa hivyo, alitabasamu si naye akaifungua kanga iliyokuwa maungoni mwa mwalimu wake wote wakawa ‘wamevaa suti’ ya aina moja, kila mmoja alipomtazama mwenzake akaachia tabasamu, kama vile kuna mtu alikuwa akiwaamrisha, si wakajikuta wamekumbatiana.

Mtu na ticha wake walikutanisha vinywa vyao na kuanza kula denda lililodumu kama dakika mbili hivi huku wakihemka, kama ambavyo waliambiana kwamba hawakuwa mtu na dada yake, si wakajibwaga tena kwenye dimba la wapendanao, kilichofuatia hapo ikawa ngoma inogile.

John ambaye moyoni aliapa kuachana na mwalimu huyo kufuatia kubambwa na mwalimu Anna, aliamua kumaliza ufundi wake wote kwa kumpa raha mwalimu wake, alilifikia kila eneo la hatari la Madam Martha aliyeishia kutoa kilio cha mashamshamu.

Madam Martha naye hakumuangusha mwanafunzi wake ambaye alipanga kummiliki kwa muda mrefu, alitoa ushirikiano mkubwa kuhakikisha John anafurahia penzi lake hadi walipofika mwisho wa safari yao pamoja.
“John!” Madam Martha alimwita mwanafunzi wake.
“Niambie ticha wangu,” John alijibu.

“Hivi nani kakufundisha mapenzi?” Madam Martha alimwuliza.
“Madam bwana! Hivi mapenzi yanafundishwa?” John alimwuliza mwalimu wake huku akiichezea nido yake ya upande wa kushoto.
“Kwa haya uliyonifanyia, kuna mtu kakufundisha ulipokuwa jandoni,” Madam Martha alimwambia.

John alimwambia hata hayo mambo ya jandoni hayajui zaidi ya kuyasikia, akamfahamisha kwamba ulikuwa ni utundu wake tu ndipo Madam Martha akamsifia sana na kumwambia kwa mambo aliyomfanyia ajiandae kupata sapraizi za kila aina kutoka kwake.

“Nitashukuru ila na wewe jiandae kwa sapraizi zangu vilevile,” John alimwambia.
“Sapraizi gani?” Madam Martha alimwuliza John.
Je, unajua nini kiliendelea? Usikose kusoma wiki ijayo kwenye gazeti hilihili.

Leave a Comment