Watu 4 Wafariki kwa Kufukiwa na Kifusi Leo Kawe – Dar Global Publishers April 6, 2016 4,710 views 0 Comments SHARE THIS: Watu wanne wamepoteza maisha na wengine watano wajeruhiwa baada ya kufukiwa na kifusi asubuhi hii eneo la Ukwamani, Kawe – Dar. Taarifa za awali zinasema waliofariki ni mfanyakazi wa ndani, watoto wawili na baba mwenye nyumba. SHARE THIS: