Picha: Timu ya Yanga waondoka kuwafata Madeama, Ghana
Global Publishers July 23, 2016 0 Comments
SHARE THIS:
MSAFARA wa watu 30 wa Yanga SC, wakiwemo wachezaji 20 wameondoka leo Jumamosi asubuhi kwenda Ghana tayari kwa mchezo wa marudiano Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji Medeama wiki ijayo.