
Rais wa Wasafi na staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz akifanya makamuzi usiku wa kuamkia leo Jangwani Sea Breeze jijini Dar.

Diamond Platnumz akifanya yake stejini wa wacheza shoo wake.

Mashabiki wakimshangilia Diamond Platnumz (hayupo pichani).

Wakiendelea kufanya yao.

Staa wa Bongo Fleva, Harmonize, akifanya makamuzi.

Harmonize akiongea na mashabiki wake.

Staa wa Bongo Fleva, Raymond ‘Ray Vanny’, akiwasalimia mashabiki kabla ya kuanza kuwapa burudani.
…Akitoa burudani.

Msanii Queen Doreen (kaikati) wa kundi la WCB Wasafi akifanya yake.
Wasafi wakiwa ‘backstage’, kulia ni Wolper na Aunt Ezekiel.
Aunt Ezekiel (katikati) akifanya yake.
…Akifuatilia shoo stejini.