×

May 2017

Abdallah Bulembo: Lazima Niiseme Serikali Yangu (VIDEO)

Mbunge wa Kuteuliwa, Mh, Abdallah Bulembo akichangia Bungeni jana Tarehe 22/05/2017 kuhusu makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo, Mifugo,...

READ MORE

Watu 22 Wauawa Kwa Bomu Manchester, Uingereza

Watu 22 wamepoteza maisha na wengine zaidi ya 50 kujeruhiwa vibaya kwenye shambulio baya la bomu lililotokea kwenye ukumbi lilipokuwa...

READ MORE

Mwanza: TRA Yatangaza ‘Kiama’ Kodi ya Majengo

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa muda hadi kufikia  Juni 30, mwaka huu wananchi wote wanaodaiwa kodi ya majengo kuhakikisha wanailipa...

READ MORE

Fahamu Aina Mbili za Ugumba

Ugumba ni hali inayotokea iwapo watu wawili, mwanaume na mwanamke wanapokutana kimwili (au kujamiiana) bila kutumia njia yoyote ile ya...

READ MORE

Kula Hivi Mimba Yako Iwe Salama

Mjamzito anapaswa kuepuka ulaji wa kupita kiasi ili asinenepe kupindukia (Obesity). Kulingana na kijarida kiitwacho Krause’s Food, Nutrition and Diet...

READ MORE

Eti Amber Lulu Hapigi Tena Picha za Utupu!

NA ALLY KATALAMBUL, UWAZI, SHOWBIZ MWANAMUZIKI na video queen anayesumbua Bongo, Amber Lulu amefunguka kuwa, kuelekea mwezi mtukufu wa Ramadhani...

READ MORE

Mapenzi Yanawazidi Nguvu Izzo Buzness na Abela Music

MAKALA: BONIPHACE NGUMIJE, UWAZI, MAKALA YAWEZEKANA kukawepo maneno mengi ya kuzungumza juu ya ukaribu wa wanamuziki wawili Emmanuel Simwenga ‘Izzo...

READ MORE

Serikali Isaidie Katika Hili la Kupaa Kwa Bei ya Vyakula

Na Eric Shigongo, Uwazi, Napasua Jipu NIMSHUKURU Mungu kwa kunipa uhai na afya tele leo lakini pia kwa kuwaweka hai...

READ MORE

Ruge Ajibu Kejeli za Mkuu wa Mkoa

STORI: MWANDISHI WETU, UWAZI, HABARI DAR ES SALAAM: Mkurugenzi wa Uzalishaji wa Vipindi wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba, (pichani)...

READ MORE

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya Mei 23, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Mei 23, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Shoga: Ukimkomoa akachepuka utafanyaje?

Na Sophia Ma’mdogo (0713-133 633), Uwazi, Mapenzi na Maisha HALO halo shoga weee naona kiroho kinawadunda baada ya kuufunua ukurasa...

READ MORE

Wafanyakazi wa Zantel Washiriki Kufanya Usafi katika Soko Kunduchi jijini Dar

Wafanyakazi wa Kampuni ya mawasiliano ya Zantel wakishiriki kufanya usafi katika soko la Samaki la Kunduchi ikiwa ni moja ya...

READ MORE

Ukweli Kigogo wa Polisi Aliyeuawa Kinyama Dar

STORI: GLADNESS MALLYA NA MAYASA MARIWATA | IJUMAA WIKIENDA DAR ES SALAAM: Hali inazidi kuwa mbaya kufuatia ongezeko la matukio...

READ MORE

Shirika la Umoja wa Mataifa la UNFPA, CCBRT na AMREF Kuadhimisha siku ya kutokomeza Fistula duniani

Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu (UNFPA), Tawi la Tanzania kwa kushirikiana na CCBRT na AMREF  wanatarajiwa...

READ MORE

Tigo Jaza Ujwazwe Nd’o Habari ya Mjini

Jaza muda wa maongezi kisha ujazwe SMS, YouTube, MB, na WhatsApp za BURE!  Kwa maelezo zaidi Bofya https://goo.gl/wmzxJJ

READ MORE

Sirro Atoa Kauli Sakata la RC Dar Kuvamia Clouds Media

DAR ES SALAAM: Kamishna wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, CP Simon Sirro,  amesema uchunguzi wa tuhuma...

READ MORE

Wamarekani, Wasauzi Kufunika Kampeni ya Castle Lite

Dar es Salaam, Mei 20, 2017- Kampeni ya  “CastleLiteUnlocks” imetangaza  bahati nasibu zaidi kwa wiki kwa ajili ya wateja wake...

READ MORE

VIDEO: Sirro Afafanua Utata wa Kifo cha Denti UDSM Aliyedaiwa Kuuawa na Polisi

DAR ES SALAAM: KAMISHNA wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, CP Simon Sirro,  amesema jeshi la polisi...

READ MORE

MPENZI WANGU SARAFINA-17

Malaika alikuwa kitandani, mwili wake haukuwa na nguvu, kwa juu, dripu ya damu ilikuwa ikining’inia. Aliyafumba macho yake, wakati mwingine...

READ MORE

Vodacom Kumwaga Zawadi Kwa Washindi Ligi Kuu

Wadhamini wa kuu wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara,Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania PLC inatarajia kutoa zawadi kwa...

READ MORE

SINGIDA: Polisi Wanamshikilia Mtuhumiwa kwa Kukutwa na Viungo vya Binadamu

Jeshi la Polisi mkoani Singida lina mshikilia mkazi moja wa mkoa wa Tabora wilaya ya Igunga wa kijiji cha Itumba...

READ MORE

Mkataba wa Mromania wa Azam Upo Tayari

Said Ally|CHAMPIONI|GPL UONGOZI wa timu ya Azam utamsainisha kocha wake, Aristica Cioaba mkataba mpya wa kuifundisha timu hiyo muda mfupi...

READ MORE

Msimu wa 2016/17 Una Maana Kubwa Katika Soka

LIGI Kuu Bara msimu uli-opita wa 2016/17 umefikia tamati juzi Jumamosi, mambo mengi yamepita lakini mengi yake yakiwa ni mafunzo...

READ MORE

Mrundi wa Mbao aanza kuiwinda Simba mapema

Ibrahim Mressy|CHAMPIONI|GPL KATIKA soka la Tanzania, imebaki mechi moja tu kubwa, nayo ni fainali ya Kombe la FA kati ya...

READ MORE

Mtoto wa Miaka 12 Auawa, Anyofolewa Sehemu za Siri na Macho

Katika hali isiyokuwa ya kawaida mtoto wa miaka 12, Dorcas Meshak mkazi wa kitongoji cha Mbughantigha kijiji cha Matongo tarafa...

READ MORE

Pichaz: Mbwembwe za Real Madrid na Kombe Lao… Usipime!

Mabao mawili ya Cristiano Ronaldo na Karim Benzema yaliiwezesha Real Madrid kutwaa taji la kwanza la La Liga tangu 2012...

READ MORE

Shinda Nyumba Kibamba Hapatoshi Leo

Na Mwandishi Wetu | IJUMAA WIKIENDA WAKAZI wa mitaa ya Kibamba na vitongoji vyake, nje kidogo ya Jiji la Dar...

READ MORE

Leila Rashid: Ni Muda Muafaka wa Kumsitiri Mzee Yusuf!

KUELEKEA MFUNGO WA MWEZI MTUKUFU… Leila Rashid: Ni muda muafaka wa kumsitiri Mzee Yusuf! Makala: Amran Kaima | IJUMAA WIKIENDA...

READ MORE

Askofu Gwajima Ataja Njia Mbadala ya Kuwabaini Wahusika wa Mauaji Kibiti

Askofu  wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema Serikali inapaswa kuwashirikisha viongozi wa dini katika kupambana na mauaji...

READ MORE

Tumuombeeni Mzee Majuto!

Stori: Brighton Masalu | IJUMAA WIKIENDA DAR ES SALAAM: Tumuombeeni! Lejendari wa vichekesho Bongo, Amri Athman ‘Mzee Majuto’ yu taaban...

READ MORE

Sitamanai Tena Kupenda, Niliyempenda Amenitenda!

Na Gabriel Ng’osha | IJUMAA WIKIENDA | XX-Love NIANZE kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu aliyenipa nafasi hii adimu ya kuzungumza na...

READ MORE

Serengeti Boys Yaondolewa Kwenye Michuano ya AFCON U-17

Timu ya Taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys imetolewa katika michuano ya vijana chini ya...

READ MORE

Real Madrid Yatwaa Ubingwa wa La Liga

  Klabu Real Madrid imetwaa taji la ubingwa wa La Liga baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya timu...

READ MORE