×

May 2017

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya Mei 20, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Mei 20, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Wema Sepetu Aibua Ishu Kwa Mume wa Mtu!

STORI: HAMIDA HASSAN NA GLADNESS MALLYA| RISASI JUMAMOSI | HABARI DAR ES SALAAM: Kuna ishu! Ndivyo wasemavyo wapenda ubuyu kufuatia...

READ MORE

PICHAZ: Dogo Mfaume Alivyozikwa Dar

JUZI JUMATANO, Mei 17, 2017 tasnia ya muziki wa Bongo ilikumbwa na msiba mkubwa baada ya kuondokewa na msanii Mfaume...

READ MORE

Video: Miss Ustawi wa Jamii, 2017 Kwenye Ukumbi wa King Solomon, Dar

KINYANG’ANYIRO cha kumtafuta Miss Ustawi wa Jamii, 2017 muda huu kwenye Ukumbi wa King Solomon uliopo Namanga jijini hapa huku...

READ MORE

VIDEO: Nay wa Mitego Agonga Shoo ya Bure Karume, Kesho Kukinukisha Dar LIVE

RAPA mbishi Bongo, Mkali wa Ngoma ya Wapo, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ leo amegonga shoo ya bure ndani ya...

READ MORE

Maagizo Mapya ya Makamu wa Rais kwa Wizara ya Ardhi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ameagiza kufanyika...

READ MORE

Makamu wa Rais Atoa Onyo kwa Makatibu Mahsusi Wanaotoa Siri za Serikali

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan amewaagiza Makatibu Mahsusi nchini kufanya kazi kwa...

READ MORE

Mkuu wa Wilaya Aanika Maisha Yake

Makala: Brighton Masalu | IJUMAA HIVI karibuni gazeti hili namba moja kwa kuchimbua undani wa maisha ya watu maarufu, lilipiga...

READ MORE

Ma – Young na Ma – Dogo Mpaka Lini

1993 rapa mdogo machachari kutoka Unyamwezini, Shad Moss alipewa jina la Lil Bow Wow na mkongwe wa Hip Hop, Snoop...

READ MORE

Wema kwa Hili la Mihela, wa Kukuoa….

NA OJUKU ABRAHAM | IJUMAA| ZA CHEMBE WEMA Sepetu, kwangu ni miongoni mwa wasanii waigizaji wa kike wanaojua nini wanafanya...

READ MORE

GABONI: CAF Wamfanyia Vipimo Serengeti Boy Aliyeichapa Angola Iwapo Anatumia Dawa

GABON: Winga teleza wa Serengeti Boys, Abdul Suleiman aliyeibuka mchezaji bora wa mechi ya Serengeti Boys na Angola hapo jana,...

READ MORE

PICHAZ: Taswira ya Msiba wa Dogo Mfaume Nyumbani Kwao Chanika – Dar

  KUFUATIA kifo cha aliyekuwa Msanii wa Bongo Fleva, Mfaume Selemani ‘Dogo Mfaume’, aliyetamba zaidi na wimbo wake wa Kazi...

READ MORE

Kessy: Nimefuata Makombe Yanga

 MUSA MATEJA NA SAID ALLY | CHAMPIONI IJUMAA | MAKALA NI mwaka mmoja na siku 10 zimekatika tangu aliyekuwa beki...

READ MORE

Kiemba: Nimeamua Kuachana na Stand Baada ya…

NA MUSA MATEJA  | CHAMPIONI IJUMAA | MAKALA KIUNGO mkongwe wa Stand United ya Shinyanga, Amri Kiemba anatambulika katika soka...

READ MORE

Baada ya Agizo la Mwigulu… Huu ni Msimamo wa Jeshi la Polisi Kuhusu PF3

Baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba kutoa taarifa kupitia ukurasa wake wa Facebook kuwa kuanzia...

READ MORE

MPENZI WANGU SARAFINA-16

Safari ilikuwa ikiendelea kuelekea katika Msitu wa Pande, kitu kilichokuwa kichwani mwao ni kufanya mauaji kwa watoto hao bila kuwaonea...

READ MORE

Daktari Ampa Ruhusa Msuva Kucheza

MUSA MATEJA | CHAMPIONI |HABARI LICHA ya kushonwa nyuzi sita wikiendi iliyopita, kiungo wa Yanga, Simon Msuva, huenda akaonekana uwanjani...

READ MORE

Shinda Nyumba Yawavutia Wananchi wa Vijijini

BAHATI Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili inayoendeshwa na Kampuni ya Global Publishers, wachapishaji wa magazeti ya Ijumaa, Championi,...

READ MORE

Zantel Yazindua Vifurushi vya Bure Kwa Mitandao Yote ya Kijamii

Meneja wa Data na Vifaa vya intaneti Zantel, Hamza Zuheri (kulia) na Meneja wa Muziki na uendeshaji Mdundo.com, Prisna Nicholaus...

READ MORE

Marekani: Mtoto Doreen Amemaliza Kufanyiwa Upasuaji wa Uti wa Mgongo

Taarifa ya Mbunge Lazaro Nyalandu Latest UPDATE: Mei 18, Alhamisi Saa 4:30 Usiku (Masaa ya Afrika Mashariki) Habari za HIVI...

READ MORE

Ijumaa Figa Bomba Girl 2017: Sanchi, Wema Watifuana Kwa Kura

HALI imezidi kuwa tete ambapo wiki hii modo, Sanchi ametifuana vilivyo na Wema Sepetu. Kwa mujibu wa kura mlizopiga zimepelekea...

READ MORE

Fuatilia LIVE Yanayojiri Bungeni Dodoma Leo Ijumaa Mei, 19

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linaendelea na vikao vyake vya Bunge mjini Dodoma asubuhi hii katika Mkutano wa...

READ MORE

Nay Kufanya Shoo ya Bure Karume Leo!

STAA wa Ngoma ya Wapo, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ anatarajiwa kufanya shoo ya bure leo (Mei, 19) katika Viwanja...

READ MORE

Aliyetobolewa Macho na Scorpion… Asimulia Yakukutoa Machozi!

STORI: BRIGHTON MASALU NA ANDREW CARLOS | GAZETI LA IJUMAA DAR ES SALAAM: Majanga upya! Unaweza sema hivyo kwa maana...

READ MORE

Unachezea Bahati wenzako Wanaitamani

NI Ijumaa nyingine ninapokukaribisha kwenye ukurasa huu, ni matumaini yangu kwamba umzima wa afya na unaendelea vizuri na majukumu yako...

READ MORE

Nandy Amfungukia Calisa

 Na Mayasa Mariwata| IJUMAA | Story Mix BAADA ya picha kunaswa zikimuonesha msanii wa Bongo Fleva, Faustina Charles ‘Nandy’ akiwa...

READ MORE

Matatizo Katika Ute wa Uzazi kwa Mwanamke

NA DK. CHALE | IJUMAA | AFYA MATATIZO katika ute wa uzazi wa mwanamke kitaalamu tunaita Abnormal Cervical Mucus ....

READ MORE

Lulu Amber Agoma Kufuta Tatuu ya Young D

Na Ally Katalambula | IJUMAA | Story Mix VIDEO Queen anayesumbua Bongo, Lulu Augen ‘Amber Lulu’ ameweka wazi kuwa, pamoja...

READ MORE

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya Mei 19, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Mei 20, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Shinda Nyumba Yatinga Maeneo ya Pembezoni

BAHATI Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili inayoendeshwa na Kampuni ya Global Publishers, wachapishaji wa magazeti ya Ijumaa, Championi,...

READ MORE

AFCON U17: Serengeti Boys Washinda dhidi ya Angola Bao 2-1

Dakika ya 93: Mwamuzi anamaliza mchezo, Serengeti inapata ushindi wa mabao 2-1. Dakika ya 92: Makame anaijaribu kuingia na mpira...

READ MORE

Wanafunzi Waadhimisha Siku ya Umuhimu wa Mimea Duniani

Taasisi ya kimataifa ya utafiti wa kilimo cha kitropiki (IITA) leo imeadhimisha na wanafunzi Siku ya Umuhimu wa Mimea Duniani...

READ MORE

Halotel Yatoa Ufafanuzi wa Kesi Iliyokuwa Inaikabili

DAR ES SALAAM: Kampuni ya mawasiliano ya simu ya Mkononi ya Halotel imetoa ufafanuzi kuhusu  tuhuma zilizokuwa  zinaikabili kampuni hiyo...

READ MORE

Trust Care Tanzania, TTCL kuwajengea uwezo wanafunzi vyuo vikuu

  SHIRIKA la Trust Care Tanzania Foundation kwa kushirikiana na Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) wameandaa semina ya kuwajengea uwezo...

READ MORE

VIDEO: SpotiHausi –Exclusive Interview na Malimi Busungu & Ivo Mapunda

GLOBAL TV Online kupitia kipindi chake cha Michezo cha SpotiHausi kinachoruka hewani kila Alhamsi saa 10:00 jioni leo imeafanikiwa kuwanasa...

READ MORE

VIDEO: Harmorapa Afunguka Mapya Penzi la Wema, Adai Kuonja Penzi la Amber Lulu

RAPA anayekuja kwa kasi Bongo, Harmorapa amefanya intavyuu na Mtangazaji wa Kipindi cha Ala za Roho cha Couds FM, Diva...

READ MORE