×

May 2017

Video: Mkali Wenu na Ebitoke Wawashangaza Mashabiki Dar Live

Kundi la vichekesho hapa nchini likiongozwa na  Jackson Supakila ‘Mkali Wenu na Ninyetwa Ebitoke ‘ Ebitoke’ kupitia Timamu TV, hakika...

READ MORE

Video: Tamthilia ya Jumba la Dhahabu – Sehemu ya 10

SUBSCRIBE NOW: https://www.youtube.com/user/uwazi1 GLOBAL TV Online inakuletea mfululizo wa Tamthilia maarufu. Naamini uliiona lakini haikua yote au ulisikia ubora wa...

READ MORE

Pichaz +Video: Mapokezi Ya Yanga Dar Usipime, Mashabiki Wajitokeza kwa Kishindo

Mashabiki wa Yanga wakiisubiri timu yao kabla ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere wakitokea Mwanza...

READ MORE

Wapo Concert: Nay wa Mitego, Shilole na Kala Jeremiah Waandika Historia Dar Live (Video)

Msanii wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego akifanya yake kwenye Shoo ya Wapo iliyofanyika jana usiku kwenye  Ukumbi wa Dar...

READ MORE

Siyo Siri Tena… Waziri wa JPM Adata Penzi La Batuli, Adaiwa Kumpangishia Bonge la Jumba Uzunguni

STORI NA WAANDISHI WETU | IJUMAA | HABARI UBUYU ulionyooka kabisa umetua kwenye meza ya gazeti hili ukidai kuwa, waziri...

READ MORE

Kumbukumbu ya Kuzama kwa Meli ya MV Bukoba Mei 21, 1996

Meli ya MV Bukoba ikiwa Ziwa Victoria wakati ilipokuwa ikitoa huduma ya usafirishaji kabla ya kuzama. KIUKWELI tarehe kama ya...

READ MORE

Video: Mapokezi ya Timu ya Yanga Wakitua na Kombe la Ubingwa 2017

SUBSCRIBE NOW: https://www.youtube.com/user/uwazi1

READ MORE

Msafara wa Ruvu Shooting Wapata Ajali, Tairi Lapasuka Safarini

Taarifa ni kuwa msafara wa timu ya Ruvu Shooting umeripotiwa kupata ajali mbele Kidogo ya Singida wakiwa safarini kurejea Dar...

READ MORE

GLOBAL TV Online: Tamthilia ya Jumba la Dhahabu – Sehemu ya 9 …Itaendelea leo Saa 12:00 Jioni

SUBSCRIBE NOW: https://www.youtube.com/user/uwazi1 GLOBAL TV Online inakuletea mfululizo wa Tamthilia maarufu. Naamini uliiona lakini haikua yote au ulisikia ubora wa...

READ MORE

Pichaz: Kiungo wa Yanga Kamusoko Ajifungia Chumbani na Kombe

Kiungo wa kimataifa wa Yanga, Mzimbabwe, Thabani Kamusoko akiwa na Kombe la Ubingwa wa timu yake ya Yanga SC chumbani.

READ MORE

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya Mei 21, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Mei 21, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Video: Shoo Nzima Ya Nay wa Mitego ‘Wapo Concert’ Dar Live – Mbagala (Usiku wa Kuamkia Leo)

SUBSCRIBE GLOBAL TV ONLINE NOW: www.youtube.com/user/uwazi1

READ MORE

Yanga Wakabidhiwa Kombe Lao CCM Kirumba, Mashabiki Wapagawa Kwa Furaha

Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa, Yanga imefanikiwa kukabidhiwa kombe la ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom licha ya kufungwa bao 1-0...

READ MORE

Elice Mwakanjila Aibuka Kidedea Miss Ustawi 2017

  MWANAFUNZI wa Chuo cha Ustawi wa Jamii, Elice Mwakanjila usiku wa kuamkia leo Jumamosi, ameibuka kinara wa Miss Ustawi...

READ MORE

FT: Simba 2-1 Mwadui FC Uwanja wa Taifa, Dar

FULL TIME Dakika ya 96: Mwamuzi anamaliza mchezo, Simba inapata ushindi wa mabao 2-1. Dakika ya 94: Mwadui ndiyo wanaomiliki...

READ MORE

VIDEO: Harmorapa Awachana WCB, Adai Anawazidi kwa Mashabiki, Aboronga Kiingereza

RAPA anayekuja kwa kasi kwenye game ya Bongo, Harmorapa mwenyewe anajiita ‘Kiboko ya Mabishoo’, amefanya mahojiano na mtangazaji wa kipindi...

READ MORE

FT: Yanga 0-1 Mbao FC, Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza

FULL TIME Mbao wanaibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Yanga, wanashangilia kwa nguvu kwa kuwa wanajihakikishia kubaki katika...

READ MORE

Bilionea wa Urusi Kuinunua Arsenal

Bilionea wa Urusi aliyezaliwa nchini Uzbekistan, Alisher Usmanov amewasilisha ombi la pauni bilion moja kuinunua Arsenal kutoka kwa mmiliki wake...

READ MORE

Watuhumiwa wa Mauaji Kibiti Watiwa Mbaroni

Mkuu  wa Wilaya ya Rufiji, ambaye pia anakaimu Wilaya ya Kibiti, Juma Njwayo,  amesema vyombo vya dola vimewakamata watu wengi...

READ MORE

TGNP Yawapa 5 Wanafunzi wa Kike Elimu ya Juu

Mtandao wa Wanawake Tanzania (TGNP)  umesema kuwa tatizo linalowakabili wasichana wengi hapa nchini ni changamoto ya masuala ya mapenzi wakiwa...

READ MORE

PICHAZ: Rais Trump Awasili Saudi Arabia, ni Ziara Yake ya Kwanza ya Kimataifa

Rais wa Marekani, Donald Trump amewasili nchini Saudi Arabia ikiwa ni mwanzo wa ziara yake ya siku 9 Barani Asia...

READ MORE

Meya Arusha Aachiwa, Amkomalia RC Gambo

ARUSHA: Meya wa Jiji la Arusha, Calist Lazaro amesema kuwa ataelekeza fedha zote za rambirambi kwa wafiwa  badala ya kuzipeleka kwa...

READ MORE

Mwanaheri Nikiwa Nyumbani Huwa Navaa Mavazi 3 Tofauti

NA GLADNESS MALLYA | RISASI JUMAMOSI | MPAKA HOME KILA Jumamosi huwa tunakutana katika safu hii ya Mpaka Home mpenzi...

READ MORE

Picha: Rais Magufuli kuongoza Mkutano wa18 wa Wakuu wa EAC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea jambo na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni...

READ MORE

Mashabiki Wamcharukia Ben Pol Baada ya Kupost Picha Chafu Instagram

Staa wa Bongo Fleva, Ben Pol ameamua kuachia picha za utata katika akauti yake ya Instagram hivi karibuni baada ya...

READ MORE

Simba: Yanga Tambeni, Msimu Ujao Mtatutambua

Na Omary Mdose | CHAMPIONI |GPL SIMBA wamesikia tambo za Yanga baada ya kuwa na uhakika wa kuchukua ubingwa wa...

READ MORE

Amber Rose Amnasa French Montana

MWANAMITINDO, Amber Rose amemnasa rapa French Montana ambaye pia aliwahi kutoka na mtangazaji wa Kipindi cha Keeping Up With The...

READ MORE

Niyonzima Ampa Msuva Tuzo ya Ufungaji Bora

Na Sweetbert Lukonge | CHAMPIONI |GPL KIUNGO wa Yanga, Haruna Niyonzima ameamua kumpa tuzo ya mchezaji bora wa Ligi Kuu...

READ MORE

Simba Yaipiga Bao Yanga, Kuchota Mkwanja Mnene

Na Wilbert Molandi | CHAMPIONI |GPL HATA kama itaukosa ubingwa wa Ligi Kuu Bara, hesabu zikienda sawa basi Simba itachota...

READ MORE

Kessy: Manara Ningebaki Simba Ningebeba Wapi Kombe?

Na Wilbert Molandi | CHAMPIONI |GPL BEKI wa kulia wa Yanga, Hassan Kessy amemtupia kijembe Mkuu wa Kitengo cha Habari...

READ MORE

Wastara Awaburuza Steps Kortini

STORI: HAMIDA HASSAN NA GLADNESS MALLYA | RISASI JUMAMOSI STEPS Entertainments, ambayo ni kampuni ya kusambaza filamu Tanzania, imepelekwa mahakamani...

READ MORE

MWANZA: Polisi Waua Majambazi Watatu -(Video)

MWANZA: Polisi mkoani Mwanza wamewaua watuhumiwa watatu wa ujambazi baada ya majibizano ya risasi kati yao na askari wa jeshi...

READ MORE

BREAKING NEWS: Majambazi Wanne Wauawa na Polisi Kariakoo (Pichaz)

DAR ES SALAAM: Jeshi la Polisi limewaua watu wanne wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wakati wakivamia maduka Kariakoo, Mtaa wa Aggrey...

READ MORE

Ligi iishe Salama Timu Zijipange Msimu Ujao

LIGI Kuu Bara inafikia tamati leo kwa timu zote 16 kucheza mechi zao za mwisho, nyingine itakuwa bingwa na tatu...

READ MORE

Leo Ndiyo Leo Nay wa Mitego, Barnaba Kukinukisha Dar Live

BAADA ya kuliamsha dude katika shoo ya bure jana ndani ya Viwanja vya Karume jijini Dar, Mkali wa Ngoma ya...

READ MORE

Wengi Wanapishana na Ndoa, Tengeneza Njia kwa Muda Sahihi!

NA Erick Evarist | RISASI JUMAMOSI| MAISHA RAHA ya uhusiano wa mapenzi, ni kumpata mwenza sahihi na kwa wakati muafaka....

READ MORE