×

Mourinho Awasili Ureno Kumzika Baba Yake Mzazi Leo

Mourinho akiwasili kwao
Kocha Mkuu wa Manchester United, Jose Mourinho amewasili nyumbani kwao Ureno tayari kwa mazishi ya baba yake mzazi mzee Jose Manuel Mourinho Felix.
Mourinho na baba yake enzi za uhai wake.
Jose Manuel Mourinho Felix, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 79 baada ya kuugua muda mrefu.
Mazishi yake yanatarajiwa kufanyika leo Mini Setubal na tayari ndugu na jamaa wa familia hiyo wako mjini hapo.
Felix alikuwa mwanasoka na aliwahi kucheza Timu ya Taifa ya Ureno akiwa kipa.
Mourinho akiwa mdogo na baba yake

Nishushe Dar Live: Roma, Stamina Waweka Historia Dar Live (Pichaz + Videos)

Leave a Comment