×

KILIMANJARO: Madiwani Watatu Chadema Wahamia CCM

PIGO jingine limekikumba Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) baada ya madiwani wake watatu kujivua nyadhifa zao na kutangaza kujiunga Chama Cha Mapinduzi  (CCM) wakieleza kuwa wanakwenda kumuunga mkono Rais Dkt. Magufuli.

 

Leave a Comment