×

Spoti Hausi LIVE: Timu Ya Man City Yatabiriwa Ubingwa wa EPL, Yanga na Simba Tanzania

Kipindi cha leo cha SpotiHausi kinajadili kuhusu kupanda na kushuka kwa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) na Ligi Kuu ya Tanzania Bara.

 

Wachambuzi wa kipindi hiki, Saleh Ally ‘Jembe’ ambaye pia ni Mhariri Mtendaji wa Global Publishers, Elius Kambili na Wilbert Moland, wanachambua muonekano wa Ligi Kuu ya Tanzania, Vodacom Premier League, Ligi Kuu ya Uingereza ‘Premier League’ na Kombe la Mabingwa Barani Ulaya (Uefa), matokeo, mechi, ratiba na vitu vyote muhimu.

 

Ni kupitia SpotiHausi pekee unapoweza kupata taarifa za kuaminika kuhusu michezo, ndani na nje ya mipaka ya Tanzania, usikose uhondo, tazama mwenyewe.

Leave a Comment