×

Wananchi Washerehekea Uamuzi wa Mahakama Nairobi (Video + Pichaz)

Wananchi wa Kenya wakishangilia uamuzi wa mahakama Nairobi.
…Shangwe zikiendelea.


Wafuasi wa Bw Kenyatta wakisherehekea karibu na majengo ya Mahakama ya Juu, Nairobi baada ya majaji kuidhinisha matokeo ya uchaguzi wa marudio uliofanyika tarehe 26 Oktoba.

Leave a Comment